UJENZI BARABARA IRINGA- KILOLO WAFIKIA 50%

UJENZI BARABARA IRINGA- KILOLO WAFIKIA 50%

UJENZI BARABARA IRINGA- KILOLO WAFIKIA 50%

IRINGA
Serikali inatekeleza Ujenzi wa barabara ya Iringa (Ipogolo) – Kilolo (km 33.2) kwa kiwango cha lami ambao umefikia asilimia 50.
Aidha, ujenzi wa barabara ya Iringa –Ruaha National Park (km 104) upo katika hatua za awali za utekelezaji.