RAIS WA FINLAND MHE. ALEXANDER STUBB KUFANYA ZIARA NCHINI.
DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb atafanya ziara nchini Tanzania kuanzia Tarehe 14 hadi 16 Mei,2025 baada ya kupata mwaliko kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe.Samia Suluhu Hassan.
Kaa karibu nasi kwa taarifa zaidi @bimkubwatanzania