MADARAJA MAKUBWA 17 YANAJENGWA NCHINI
TANZANIA
Serikali inatekeleza ujenzi wa madaraja makubwa 17 ambayo yapo katika hatua mbalimbali za ujenzi nchini.
Madaraja hayo ni Mirumba, Pangani, Mbangala, Simiyu, Mbambe, Doma, Nzali, Chakwale, Nguyami, Suguta, Sukuma, Jangwani, Mwanjiri, Mkili, Kalebe, Kavuu, na Mitomoni.
Aidha, Madaraja makubwa saba (7) ya Mpiji Chini, Kibakwe, Kerema Maziwa, Sanza, Munguli na Godegode yako kwenye hatua mbalimbali za maandalizi ya kazi za ujenzi.