KM 52.5 KUPUNGUZA MSONGAMANO DAR

 

KM 52.5 KUPUNGUZA MSONGAMANO DAR

KM 52.5 KUPUNGUZA MSONGAMANO DAR

DAR ES SALAAM
Serikali ya awamu ya sita inajenga jumla ya kilometa 52.5 za barabara kwa kiwango cha lami lengo likiwa ni kupunguza msongamano wa magari Jijini Dar es Salaam.
Barabara zilizokamilika ni pamoja na i. Barabara ya Kimara – Kibaha (19.2 Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya II kutoka Maktaba – Mbagala (km 19.3), Barabara ya Ardhi – Makongo (km 4), Barabara ya Wazo Hill – Madale (km 9), Daraja la Tanzanite (km 1.03)na  Madaraja ya juu ya Chang’ombe na Uhasibu.