MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA DANIEL CHAPO WA MSUMBIJI

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA DANIEL CHAPO WA MSUMBIJI

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA DANIEL CHAPO WA MSUMBIJI

DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma Juni 12, 2024.