MADARAJA MAKUBWA 8 YAKAMILIKA
TANZANIA
Serikali imekamilisha ujenzi wa jumla ya madaraja makubwa nane (8) katika mikoa tofauti nchini.
Madaraja hayo ni Kitengule (Kagera), Wami (Pwani), Msingi (Singida), Tanzanite (Dar es Salaam), Kiyegeya (Morogoro), Gerezani (Dar es Salaam), Mpwapwa (Dodoma) na Ruhuhu (Ruvuma).
Aidha, ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi (JP. Magufuli) unatarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei, 2025 nalitazinduliwa rasmi naMhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.