BIMKUBWA DKT SAMIA AWASILI KILIMANJARO
KILIMANJARO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari ameshawasili mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yatakayofanyika (Kesho) Mei 13,2025 Kijijini kwake Wilaya ya Mwanga.
Bimkubwa Tanzania tutakuletea matangazo ya Moja kwa Moja kutoka hapa Mwanga Mkoani Kilimanjaro, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya Kijamii Facebook, Instagram, X, TikTok, YouTube @BIMKUBWATANZANIA