MHE.RAIS DKT SAMIA AZINDUA BENKI YA USHIRIKA

MHE.RAIS DKT SAMIA AZINDUA BENKI YA USHIRIKA

MHE.RAIS DKT SAMIA AZINDUA BENKI YA USHIRIKA

DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo April28, 2025 amezindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania(COOP Bank Tanzania) yaliyopo Jijini Dodoma.
Benki ya Ushirika inaanza kazi ikiwa na mtaji wa shilingi bilioni 55 ambapo wanaushirika wanamiliki hisa kwa 51% na wadau wengine, sekta binafsi wanamiliki 49%.
#Bimkubwakazini