TAARIFA KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, MACHI 8,2025
Mhe..Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8,2025 Katika uwanja wa Sheikh Abeid Amri Karume Mkoani Arusha.