ZIARA YA BIMKUBWA DKT SAMIA MKOANI TANGA KUANZIA TAR. 23 FEBRUARI HADI MACHI 2, 2025

ZIARA YA BIMKUBWA  DKT SAMIA MKOANI TANGA KUANZIA TAR. 23 FEBRUARI HADI MACHI 2, 2025

ZIARA YA BIMKUBWA  DKT SAMIA MKOANI TANGA KUANZIA TAR. 23 FEBRUARI HADI MACHI 2, 2025

(FEB. 24 , 2025)

Kuweka Jiwe la Ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Bumbuli katika wilaya ya Lushoto :- Jengo hili serikali imetumia kiasi cha shilingi bilioni  4.2 ambapo ndani yake kuna sehemu ya hoteli, sehemu za kukodisha ofisi.
Mkutano wa Hadhara Lushoto Mjini
kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi na na utiaji saini wa mikataba miwili ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga. :- Mradi huu serikali imetumia kiasi cha shilingi bilioni 18 , mradi huu unatarajiwa kuwanufaisha wananchi zaidi ya 20,000 kutoka katika   vijiji 28 vilivyopo katika kata saba za Mkomazi, Mkumbara, Mazinde, Mombo, Chekelei, Makuyuni, na Magila Gereza.  Pia unatarajiwa kukamilika Agosti 2025

Mkutano wa Hadhara Chuo cha Ualimu Korogwe.