FEDHA ZAMWAGWA UJENZI WA MADARAJA SHINYANGA
SHINYANGA
Serikali inatekeleza miradi kadhaa ya ujenzi wa madaraja katika mkoa wa Shinyanga kama ifuatavyo.
Daraja la Ubagwe (m 40) unagharimu Bilioni 4.14, Daraja la Kasenga (m 60) unagharimu Bilioni 5.13, Daraja la Ng’hwande (m 40) unagharimu billion 4.28 na Daraja la Mwabomba (m 50) unagharimu Bilioni 4.5 pamoja na ujenzi wa tuta la barabara (m 300) kwa kiwango cha changarawe katika kila daraja kwa muda wa mwaka mmoja (miezi 12).