TSH BIL 24 KWENYE MIRADI YA MAENDELEO NAMTUMBO

TSH BIL 24 KWENYE MIRADI YA MAENDELEO NAMTUMBO

TSH BIL 24 KWENYE MIRADI YA MAENDELEO NAMTUMBO

RUVUMA
Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha kiasi cha shilingi Bilioni 24 katika wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule ya wasichana, miradi ya kusambaza umeme kwenye vijiji na vitongoji, elimu, afya, kilimo, maji, ujenzi wa kituo cha polisi na mahakama.