DKT SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MSIKITI WA AL GHAITH MOROGORO

DKT SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI  MSIKITI WA AL GHAITH MOROGORO

DKT SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI  MSIKITI WA AL GHAITH MOROGORO

MOROGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la  Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024.  
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti amewasisitiza waislamu kujenga madrasa nyingi zaidi ili kuwapatia watoto mafunzo ya kiimani ambayo yatawawezesha kuwa na jamii zenye maadili.