TRC YASAFIRISHA ABIRIA 1,000,000
DAR ES SALAAM
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imesafirisha abiria wapatao milioni moja tangu ilipozindua njia za treni ya umeme (SGR) Juni mwaka huu kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma.
Idadi hiyo ni mara mbili ya abiria waliosafirishwa na treni ya zamani (MGR) kwa mwaka abiria 400,000.
#BiMkubwaKazini
