BARABARA YA PUGE – ZIBA – CHOMA KUJENGWA KWA AWAMU

BARABARA YA PUGE – ZIBA – CHOMA KUJENGWA KWA AWAMU

BARABARA YA PUGE – ZIBA – CHOMA KUJENGWA KWA AWAMU

TABORA
Katika mwaka wa fedha 2024/25, Serikali imepanga kuanza ujenzi wa kilometa 11 sehemu ya Puge – Ndala (km 5), Ziba – Choma (km 2) na Ziba – Nkinga (km 4) kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora.
Serikali inategemea kutangaza zabuni ya kumpata Mkandarasi wa kuanza sehemu ya ujenzi wa barabara hiyo mwezi huu Novemba, 2024.