TSH MIL. 300 KUJENGA KITUO CHA AFYA MUNDARARA

TSH MIL. 300 KUJENGA KITUO CHA AFYA MUNDARARA

TSH MIL. 300 KUJENGA KITUO CHA AFYA MUNDARARA

ARUSHA
Serikali imeamua kiasi cha shilingi Milioni 300  kipelekwe kwenye Kata ya Mundarara, Halmashauri ya Wilaya ya Longido mkoani Arusha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata hiyo.
Wakati huo huo, serikali pia imeiagiza  TARURA Mkoa wa Arusha kutoa sh. Milioni 75 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa daraja la Mundarara lililoathiriwa na mafuriko wakati wa msimu wa mvua.