TSH BIL 125 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA ELNINO DAR

TSH BIL 125 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA ELNINO DAR

TSH BIL 125 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA ELNINO DAR

DAR ES SALAAM
Serikali imetoa kiasi cha  shilingi Bilioni 125 kwa ajili ya kurejesha miundombinu katika Mkoa wa Dar es Salaam iliyoathiriwa na mvua za El-Nino ikiwa ni pamoja na ujenzi wa daraja la Kigogo, daraja la Mpiji chini, daraja la Mtongani, daraja la Mkwajuni, daraja la Mzinga, daraja la Nguva na box kalavati la Mikadi, daraja la JKT – Ununio, daraja la Kisarawe, Amani, Gomvu, Geti jeusi, mifereji ya maji Kigamboni – Kibada na maeneo mengine.