MKATABA MABORESHO YA TAZARA WASAINIWA.
BEIJING
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa China Mhe. Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema leo Septemba 4, 2024 wameshuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing, China.
