DKT SAMIA ASHIRIKI DUA NA WANAWAKE WA PEMBAZANZIBARMhe Rais Dkt Samia leo Machi 25 amezungumza na wanawake wa Chakechake Pemba mara baada ya kushiriki kwenye dua ya kumuombea ambayo imeandaliwa na wanawake hao.Hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Tibirizi Chakechake Visiwani Zanzibar.