KIKAO CHINA NA TANZANIA CHAFANYIKA
BEIJING
Leo Septemba 4, 2024 kimefanyika kikao kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping na ujumbe wake chenye lengo la kuimarisha uhusiano mzuri na wa kihistoria kati ya Tanzania na China ulioasisiwa miaka 60 iliyopita kilichofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing, China.