DKT SAMIA KWENYE FOCAC ( VIWANDA NA KILIMO)

DKT SAMIA KWENYE FOCAC ( VIWANDA NA KILIMO)

DKT SAMIA KWENYE FOCAC ( VIWANDA NA KILIMO)

BEIJING
Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki na kuhutubia katika Mkutano wa Ngazi ya Juu unaohusu Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha China mjini Beijing, tarehe 5 Septemba, 2024.
Kwa taarifa zaid, kaa karibu nasi.