DKT SAMIA AHUTUBIA KWENYE FOCAC
BEIJING
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 5, 2024 amehutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii @Bimkubwatanzania