WANA MUGUMU KWENYE NEEMA YA MAJI

 

WANA MUGUMU KWENYE NEEMA YA MAJI

WANA MUGUMU KWENYE NEEMA YA MAJI

Serikali inaendelea kutekeleza Mradi wa Maji katika Mji mdogo wa Mugumu  uliopo wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara kwa gharama ya Shilingi 22,369,967,795.
Mradi huu ukikamilika utawanufaisha wakazi wapatao 166,960 wa Mji wa Mugumu na maeneo jirani.