TSH MIL 520 ZAKAMILISHA JENGO LA MAMA NA MTOTO MAFIA

TSH MIL 520 ZAKAMILISHA JENGO LA MAMA NA MTOTO MAFIA

TSH MIL 520 ZAKAMILISHA JENGO LA MAMA NA MTOTO MAFIA

Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo la mama na mtoto katika hospitali ya wilaya ya Mafia mkoani Pwani, ujenzi ambao umegahrimu kiasi cha shilingi milioni 520. 
Ujenzi wa jengo hilo ni muendelezo wa uboreshaji wa huduma za mama na mtoto ili kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi.