TSH TRIL 1.15 KUONGEZA MIUNDOMBINU ELIMU
TANZANIA
Serikali imetenga shilingi Trillion 1.15 kwa ajili ya kujenga shule mpya za msingi na madarasa mapya kwa kipindi cha miaka 5 ambapo kwa mwaka wa fedha 2023/ 24 jumla ya Shule 302 za msingi na madarasa zaidi ya 3000 yamejengwa.