DARAJA LIMEUNGANISHA MINYUGHE NA MAKILAWA
SINGIDA
Serikali imekamilisha ujenzi wa daraja linalounganisha Kata ya Minyughe na Makilawa, katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida, lililokatika miaka 3 iliyopita na kuathiri shughuli za kiuchumi na upatikanaji wa huduma za kijamii ikiwemo afya na elimu.
Kwa sasa shughuli za uzalishaji katika vijiji hivyo zimerejea na kusaidia kuchochea ukuaji wa uchumi
