TSH MIL 360 KUJENGA DARAJA BUSEGASIMIYUKatika Mwaka wa Fedha 2024/25, Serikali imetenga shilingi milioni 360 katika bajeti yake kwa ajili ya ujenzi wa daraja litakalounganisha Kijiji cha Lutubiga na Mwasamba wilayani Busega Mkoani Simiyu