SOKO LA TEMEKE NA TANDIKA STERIO KUKARABATIWA

SOKO LA TEMEKE NA TANDIKA STERIO KUKARABATIWA

SOKO LA TEMEKE NA TANDIKA STERIO KUKARABATIWA

Serikali imetenga shilingi milioni 800 kwa ajili ya ukarabati wa soko la Temeke na Tandika Sterio. 
Ukarabati huo utaboresha mazingira ya biashara, kuvutia wateja na kuongeza usalama wa watumiaji wa masoko hayo.