DKT SAMIA ATEMBELEA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

DKT SAMIA ATEMBELEA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

DKT SAMIA ATEMBELEA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

DAR ES SALAAM
Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan  leo juni 26, 2024 ametembElea katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuwasili chuoni hapo amepata nafasi ya kusaini kitabu ca wageni na  kusalimiana na Wanadhimu Waandamizi Waelekezi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC)