MIRADI YA BRT 4 INAENDELEA KUTEKELEZWA
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) -Mwenge -Maktaba ya Taifa (Posta).