TSH TRIL 1 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI
Serikali imetenga kiasi cha shilingi trilioni 1 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa uboreshaji miundombinu kwenye miji 45 na manispaa 16 nchini.
Mradi huo umepanga kuboresha barabara, masoko, vituo vya mabasi na daladala, bustani za mapumziko, mitaro ya maji ya mvua na vivuko maji.