TSH MIL 420+ ZAKAMILISHA JENGO LA EMD IKWIRIRI
PWANI
Jumla ya shilingi 420,844,595 zimetumika kujenga Jengo la EMD katika Kituo cha Afya Ikwiriri Mkoani Pwani.
Katika fedha hizo Serikali kuu imechangia shilingi milioni 300,000,000 na Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imechangia shilingi 120,844,595 kutoka kwenye mapato yake ya ndani.