HOSPITALI YA SONGWE YATUMIA TSH BIL 16.7

 

HOSPITALI YA SONGWE YATUMIA TSH BIL 16.7

HOSPITALI YA SONGWE YATUMIA TSH BIL 16.7

Hii ni Hospitali ya Rufaa mkoa wa Songwe ambayo ujenzi wake umetumia kiasi cha shilingi bilioni 16.7 hadi kukamilika.
Baadhi ya majengo yaliyojengwa na yameanza kutoa huduma  Katika hospitali hii ni pamoja na jengo la mama na mtoto, jengo la wagonjwa wa dharura (EMD) na jengo la wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu (ICU)
Uwepo wa hospitali hii unawasaidia wananchi kupunguza umbali wa kwenda hospital za mbali kufuata huduma za matibabu.