VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI VIMEPUNGUA RUKWA

VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI VIMEPUNGUA RUKWA

VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI VIMEPUNGUA RUKWA

RUKWA
Serikali imefanikiwa kupunguza vifo vya mama na mtoto vitokanavyo na matatizo ya uzazi kutoka 74 Mwaka 2020 hadi kufikia vifo 41 kwa Mwaka 2023 kwa kuimarisha miundombinu ya utoaji huduma ya mama na mtoto Mkoani Rukwa.
Takwimu zinaonesha kuwa vifo vya watoto wa siku 0 hadi 7 Mkoani Rukwa vimepungua kutoka 612 kwa Mwaka 2020 hadi kufikia vifo 365 kwa Mwaka 2023.
#SisiTupoRukwa