TSH BIL 35 KUUNGANISHA TZ NA ZAMBIA
RUKWA
Zaidi ya shilingi billion 35 zimetolewa na serikali kwa ajili ya umaliziaji wa barabara kwa kiwango cha lami km 25 itakayo unganisha kati ya nchi ya Tanzania na Zambia kuanzia kijiji cha Tatanda hadi mpaka wa Kasesya wilayani Kalambo mkoani Rukwa.
#SisiTupoRukwa