TSH BIL 11.4 KUJENGA SOKO, STENDI MAGU

 

TSH BIL 11.4 KUJENGA SOKO, STENDI MAGU

TSH BIL 11.4 KUJENGA SOKO, STENDI MAGU

MWANZA
Serikali ya awamu ya sita imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 4.6 kwa ajili ya ujenzi soko la kisasa na bilioni 6.8 kwa ajili ya ujenzi wa stendi  ( miradi yote inatekelezwa katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza) na kufanya kuwa jumla ya shiingi bilioni 11.4.