WASICHANA 663,949 WAPATA CHANJO YA HPV

 

WASICHANA 663,949 WAPATA CHANJO YA HPV

WASICHANA 663,949 WAPATA CHANJO YA HPV

TANZANIA
Serikali imeendelea kuwalinda wasichana wenye umri wa miaka 14 dhidi ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa kununua na kusambaza chanjo ya Human Papilloma Virus (HPV) ambayo inatoa kinga dhidi ya saratani hiyo.
Hadi kufikia Machi 2024 jumla wasichana 663,949 wamepatiwa chanjo hii sawa na 92% ya walengwa  721,684 ikilinganishwa na Wasichana 535,708 waliopata chanjo hiyo kwa kipindi kama hicho mwaka 2022/23