W/FEDHA 2023/24 ILIIDHINISHIWA TSH TRIL 15+

 

WFEDHA 202324 ILIIDHINISHIWA TSH TRIL 15+

W/FEDHA 2023/24 ILIIDHINISHIWA TSH TRIL 15+

DODOMA
Kwa mwaka 2023/24, bunge la jamuri ya Muungano wa Tanzania ililiidhinishia wizara ya feda kiasi ca shilingi  trilioni 15.87 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo. 
Kati ya kiasi hicho, shilingi trilioni 15.31 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi bilioni 556.38 matumizi ya maendeleo. 
Matumizi ya kawaida yanajumuisha matumizi mengineyo shilingi trilioni 13.62, ikiwemo huduma ya deni la Serikali shilingi trilioni 10.48 na matumizi ya mishahara shilingi trilioni 1.69. Aidha, matumizi ya maendeleo yanajumuisha fedha za ndani shilingi bilioni 482.55 na fedha za nje shilingi bilioni 73.82.