BARABARA KUELEKEA VITUO VYA RELI (SGR) ZAJENGWA
MOROGORO
Serikali imeanzisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami (km87.6) kuelekea katika vituo vya reli ya kisasa (SGR) ambazo ni Morogoro – Kihonda SGR Station (km 10), Rudewa – Kilosa SGR Station (km 3), Gulwe – Gulwe SGR Station (km 2), Igandu – Igandu SGR Station (km 27), Ihumwa – Ihumwa Marshalling Yard (km 5.5), Bahi – Bahi SGR Station (km 4), Mlandizi – Ruvu SGR Station (km 22), barabara za ndani za kituo cha SGR cha Dodoma (Access Roads to Dodoma SGR Station -m100) na barabara ya Pugu – Kiltex (km 6.7).