DKT SAMIA AMUAPISHA NAIBU WAZIRI NYONGO
DODOMA
Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo Juni 13 ,2024 amemuqpisha Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo kuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- (Mipango na Uwekezaji) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.