TSH BIL 92.84 KUZISOGEZA KARIBU KARAGWE NA NGARA
KAGERA
Serikali kupitia Tanroads Mkoa wa Kagera imeanza Ujenzi wa barabara inayounganisha wilaya ya karagwe na Ngara kupitia hifadhi ya Burigi chato ya Bugene-Kasulo- Kumunazi (Km 128.5), kipande cha Bugene-Burigi Chato (Km 60).
Mradi huo unatekelezwa kwa gharama ya TSh. Bilioni 92.84 ambapo hadi hivi sasa mradi umefikia 41.9%.