MWAKA 2023 KAHAWA ILIUZWA NJE KWA 41.1%

 

MWAKA 2023 KAHAWA ILIUZWA NJE KWA 41.1%

MWAKA 2023 KAHAWA ILIUZWA NJE KWA 41.1%

TANZANIA
Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya kahawa nje ya nchi iliongezeka kwa 41.1%  hadi  shilingi bilioni 581.145 ikilinganishwa na shilingi  bilioni 411.06 mwaka 2022. 
Hii imetokana na kuongezeka kwa kiasi cha kahawa kilichouzwa nje hadi tani 84,400 mwaka 2023 ikilinganishwa na tani 55,200 mwaka 2022. 
Aidha, wastani wa bei ya kuuza kahawa ulipungua kwa 7.5%  na kufikia shilingi 6,887,040  kwa tani mwaka 2023 kutoka wastani wa  shilingi 7,444,980 kwa tani mwaka 2022.