SHELUI – NZEGA (KM 110) KUPEMBULIWA

 

SHELUI – NZEGA (KM 110) KUPEMBULIWA

SHELUI – NZEGA (KM 110) KUPEMBULIWA

TABORA
Kiasi cha ya Shilingi bilioni 1.55 kimetengwa kwa ajili ya kuendelea na Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina kwa ajili ya ukarabati kwa kiwango cha lami wa barabara ya Shelui – Nzega (km 110).
Aidha serikali kupitia wizara ya ujenzi  inatarajia kuanza ujenzi wa barabara ya Shelui – Sekenke – Tulya – Tyegelo (km 62) sehemu ya Shelui - Sekenke - Ntwike (km 20) kwa kiwango cha lami  mkoani Tabora.