BARABARA ZINAZOINGIA DODOMA KUBORESHWA

 

BARABARA ZINAZOINGIA DODOMA KUBORESHWA

BARABARA ZINAZOINGIA DODOMA KUBORESHWA

DODOMA
Kiasi cha fedha Shilingi bilioni moja kimetengwa kwa ajili ya kukamilisha kazi ya Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina kwa ajili ya kuanza upanuzi wa barabara kuu zinazoingia katika Jiji la Dodoma (km 220) zinazohusisha barabara ya Dodoma – Morogoro (km 70), Dodoma – Iringa (km 50), Dodoma – Singida (km 50) na Dodoma – Arusha (km 50).