SHAHADA NYINGINE MIKONONI MWA DKT SAMIA

 

SHAHADA NYINGINE MIKONONI MWA DKT SAMIA
KOREA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan leo Juni 03,2024 ametunukiwa udaktari wa falsafa wa heshima (Honoris Causa) kwemye sekta ya anga.Shahada hiyo ametunukiwa na Rais wa chuo kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University-KAU) Hee Young Hurr katika hafla iliyofanyika Jijini Seoul nchini Korea.