DKT SAMIA AKAMILISHA UJENZI VIWANJA VITATU VYA NDEGE

 

DKT SAMIA AKAMILISHA UJENZI  VIWANJA VITATU VYA NDEGE

DKT SAMIA AKAMILISHA UJENZI  VIWANJA VITATU VYA NDEGE

SONGWE
Serikali ya Awamu ya Sita imekamilisha ujenzi wa viwanja vya ndege vitatu (3) katika kipindi cha miaka mitatu (Machi 2021-Machi 2024) ambavyo ni viwanja vya ndege vya  Songwe, Songea, Mtwara 
Aidha, katika kipindi hicho, Serikali imeendelea na utekelezaji wa miradi ya viwanja vya ndege 7 ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji. 
Viwanja hivyo ni Msalato 56.9% Package I - Miundombinu na 22.56% Package II - Majengo), Musoma 55%, Iringa 93% Kigoma (Awamu ya III 3.7%); Sumbawanga 10% Shinyanga 16% na Tabora (Awamu III 45%.
Vilevile, taratibu za manunuzi zinaendelea kwa ajili ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Lake Manyara, Iringa (Awamu ya II) na Kiwanja cha Ndege cha Tanga.