SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI 12,000, (ELIMU)

SERIKALI  KUAJIRI  WATUMISHI 12,000, (ELIMU)

SERIKALI  KUAJIRI  WATUMISHI 12,000, (ELIMU)

DODOMA
Serikali inatarajia kuajiri watumishi wa kada za walimu 12,000 ambapo baadhi yao watapangiwa katika maeneo yenye upungufu mkubwa wa walimu katika maeneo mbalimbai nchini.