DKT SAMIA AZUNGUMZA NA WATAYARISHAJI FILAMU

 

Tanzania imezindua rasmi kituo cha kuzalisha umeme cha 20MVA cha Ifakara kilichokamilika kwa  Dola za Marekani milioni 9.6 (takriban shilingi bilioni 25) katika wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro ambacho kinatarajiwa kuongeza nguvu

DKT SAMIA AZUNGUMZA NA WATAYARISHAJI FILAMU

KOREA KUSINI
Mhe Rais Dkt Samia leo Juni 1, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na watayarishaji wa filamu wa Korea na Tanzania katika kikao kilichofanyika Jijini Seoul Nchini Korea.
Baada ya  mazungumzo hayo Dkt Samia amepokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri ya Korea.
KUMBUKA :- Mhe.Rais anatekeleza kwa vitendo ahadi aliyoitoa Mei 25,2024 katika Ukumbi wa Mlimani City ambapo alisema Kuanzia ziara ya Korea atakuwa anaambatana na wasanii wa filamu na Muziki (kutegemeana na ratiba ya ziara husika) lengo likiwa ni kuipa nguvu tasnia ya filamu na muziki nchini.