RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS YOON SUK YEOL, IKULU
KOREA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Juni 02, 2024 amekutana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul ambapo Mhe Rais Dkt Samia ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na Rais Korea.
