MHE.RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS UMARO,IKULU
DAR ES SALAAM
Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amempokea na kufanya mazungumzo nae Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló, leo juni 22,2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mhe Rais Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló amewasili nchini Juni 21 kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi.
Kaa karibu nasi kwa taarifa zaidi.